Uzalishaji wote wa Afrika.
Jukwaa Moja.
Agiza kwa usalama kutoka nchi yoyote barani Afrika, kwa sekunde chache tu!
Agiza chakula na mazao ya kilimo kutoka Afrika kwa kujiamini; mazao yanayosafirishwa na vyama vya ushirika, vikundi vya wakulima, wasafirishaji bidhaa nje ya nchi, pamoja na wasindikaji wa bidhaa za kilimo wanaofanya kazi moja kwa moja na familia za wakulima zinazoaminika.
Jinsi Inavyofanya Kazi
1.
Bidhaa Imepakiwa
Mazao bora yanapakiwa na vyama vya ushirika vya Afrika, vikundi vya wakulima, wauzaji nje, wasindikaji wa kilimo na mashirika mengine ambayo hufanya kazi moja kwa moja na wakulima wadogo, wafugaji na jamii za wavuvi.
2.
Mnunuzi Anachagua Mazao
Wanunuzi kutoka popote pale ulimwenguni wanaweza kupata mazao kutoka Afrika nzima, pamoja na bei zake, viwango vya usafirishaji, na taarifa za utaratibu wa ugavi na usafirishaji bidhaa; na yote hayo yanapatikana sehemu moja. Mnunuzi huagiza kwa usalama.
3.
Mazao Yanasafirishwa
Mzalishaji husafirisha mazao kwenda kwa mnunuzi, kwa njia ya anga au kwa meli hadi kwenye soko lolote lile ulimwenguni. Malipo hutolewa kwa mzalishaji baada ya masharti yote kuzingatiwa.
Nchi Zinazoongoza
Afrika Kusini
Moroko
Misri
Ethiopia
Ghana
Ivory Coast